header

NOTIFICATION🔔!!

Ifahamu Storepesa


1️⃣ STOREPESA NI NINI?

StorePesa ni jukwaa la kidigitali linalowawezesha watu kupata kipato kwa kufanya kazi mbalimbali mtandaoni kwa kutumia simu au kompyuta. Ni njia ya kisasa ya kuongeza kipato nyumbani bila kuhitaji mtaji mkubwa.


2️⃣ JINSI STOREPESA INAVYOFANYA KAZI

Baada ya kujisajili kwa kulipa ada ndogo (Tsh 500), mtumiaji hupata akaunti inayomwezesha:

  • Kupokea kazi mbalimbali kulingana na muda na uwezo wake.

  • Kufanya kazi hizo (kutazama video, kubofya matangazo, kushiriki michezo, nk).

  • Kupokea malipo kwa kila kazi aliyomaliza.


3️⃣ AINA ZA KAZI UNAZOWEZA FANYA

KaziMaelezoMalipo
📺 Kutazama VideoYouTube, TikTok, FacebookKulipwa kwa kila video
📢 Kubofya AdsBonyeza matangazo ya biasharaKulipwa kwa kila ad
🎯 Spin WheelBahati nasibu ya papo kwa papoShinda pesa papo hapo
🧠 Maswali ya TriviaMajibu ya harakaKulipwa kwa usahihi
🏆 TournamentsMashindano ya kila wikiZawadi kwa washindi
🤝 Affiliate ProgramMwalike rafikiUpate bonasi ya referral
📸 Kushiriki MemePakia picha/memeMalipo kwa likes/views
🎓 Kozi za MtandaoniForex, Digital MarketingVyeti na maarifa

4️⃣ FAIDA ZA KUJIUNGA NA STOREPESA

  • ✅ Hakuna mtaji mkubwa – kujiunga kwa Tsh 500 tu

  • ✅ Inafaa kwa wote – wanafunzi, wafanyakazi, mama wa nyumbani, n.k.

  • ✅ Malipo ya haraka kupitia M-Pesa, Airtel Money, TigoPesa n.k.

  • ✅ Mfumo wa pointi na bonasi unaovutia.

  • ✅ Mafunzo yanayotolewa bure: Forex, ujasiriamali, nk.

  • ✅ Arifa za kazi kupitia Telegram & Email.


5️⃣ USIMAMIZI NA USALAMA

  • 🔐 Mfumo una login kwa usalama (Admin na User).

  • ✅ Kazi hazirudiwi – kazi huondolewa baada ya mtumiaji kuifanya.

  • 📩 Arifa zinatolewa kwa kazi iliyokamilika – kwa email na Telegram.

  • 📊 Kila mtumiaji anaweza kufuatilia mapato, referrals, na historia yake ya kazi.